Nguo safi nyingine mbali na ile ya hedhi

Swali: al-Bukhaariy amesema: “Mlango kuhusu mwenye kuchukua nguo nyingine safi mbali na ile nguo ya hedhi.”

Jibu: Hapana vibaya. Ni kwa ajili ya usafi na utunzaji. Achukue nguo nyingine safi ili asipatwe na damu.

Swali: Haisemwi kuwa ni Sunnah kwa sababu ya kumkubalia kwake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Inawezekana.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23551/حكم-اتخاذ-ثياب-للحيض-غير-ثياب-الطهر
  • Imechapishwa: 10/02/2024