Swali: Kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala):
مَا سَلَكَكُمْ فِي سَقَرَ قَالُوا لَمْ نَكُ مِنَ الْمُصَلِّينَ
“[Watawauliza]: “Nini kilichokuingizeni katika [Moto wa] Saqar?” Watasema: “Hatukuwa miongoni mwa wanaoswali.” (74:42-43)
Jibu: Hana ijumaa wala Tarawiyh wala hana matendo yoyote. Vovyote atakavyotenda, matendo yake ni batili mpaka pale atapoanza kusimamisha swalah. Matendo yake ni batili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (47) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-12.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala):
مَا سَلَكَكُمْ فِي سَقَرَ قَالُوا لَمْ نَكُ مِنَ الْمُصَلِّينَ
“[Watawauliza]: “Nini kilichokuingizeni katika [Moto wa] Saqar?” Watasema: “Hatukuwa miongoni mwa wanaoswali.” (74:42-43)
Jibu: Hana ijumaa wala Tarawiyh wala hana matendo yoyote. Vovyote atakavyotenda, matendo yake ni batili mpaka pale atapoanza kusimamisha swalah. Matendo yake ni batili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (47) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-12.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/asiyeswali-matendo-yake-ni-batili/