Swali: Kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala):

مَا سَلَكَكُمْ فِي سَقَرَ قَالُوا لَمْ نَكُ مِنَ الْمُصَلِّينَ

“[Watawauliza]: “Nini kilichokuingizeni katika [Moto wa] Saqar?” Watasema: “Hatukuwa miongoni mwa wanaoswali.” (74:42-43)

Jibu: Hana ijumaa wala Tarawiyh wala hana matendo yoyote. Vovyote atakavyotenda, matendo yake ni batili mpaka pale atapoanza kusimamisha swalah. Matendo yake ni batili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (47) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-12.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020