Swali: Kuna wanaosema mwanamke hahitaji kuwa na Mahram katika safari yake naye ni katika watu wasiyokuwa na elimu.
Jibu: Yaani mtu huyu anamrudi Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Si halali kwa mwanamke anayemwamini Allaah na siku ya mwisho kusafiri ila pamoja naye awe na mahram.”?
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=OnLKLRCu238
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Kuna wanaosema mwanamke hahitaji kuwa na Mahram katika safari yake naye ni katika watu wasiyokuwa na elimu.
Jibu: Yaani mtu huyu anamrudi Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Si halali kwa mwanamke anayemwamini Allaah na siku ya mwisho kusafiri ila pamoja naye awe na mahram.”?
Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=OnLKLRCu238
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/anampiga-mtume-mwanamke-kusafiri-na-mahram/