Mposaji asiyeswali

Swali: Kuna mwanaume amemchumbia msichana wangu. Baada ya muda nikagundua kuwa haswali. Nifanye nini?

Jibu: Usimuozeshe. Maadamu haswali ni kafiri. Hivyo basi usimuozeshe msichana wako.

Check Also

Baba hataki kuwaozesha mabinti zake kwa kukhofia riziki zao

Swali: Ipi hukumu ya baba ambaye hataki kuwaozesha mabinti zake kwa ajili ya riziki zao? …