Anampiga Mtume mwanamke kusafiri na Mahram

Swali: Kuna wanaosema mwanamke hahitaji kuwa na Mahram katika safari yake naye ni katika watu wasiyokuwa na elimu.

Jibu: Yaani mtu huyu anamrudi Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Si halali kwa mwanamke anayemwamini Allaah na siku ya mwisho kusafiri ila pamoja naye awe na mahram.”?

Check Also

Mke wangu anataka kusafiri kumuuguza mamake bila Mahram

Swali: Mke wangu anataka kusafiri kwenda mji mwingine kwa kuwa mama yake ni mgonjwa. Mimi …