Swali: Mtu alikuwa amefunga ndani ya Ramadhaan na baadaye akapanga kusafiri. Lakini akaanza kula nyumbani kwake kabla ya kuondoka katika ule mji anapoeshi. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Haitakikani kwake kufanya hivo. Anatakiwa kula baada ya kutoka. Ni lazima kwake kulipa siku hiyo. Katika siku za mbele haifai kwake kula isipokuwa baada ya kuondoka mji na akayaacha majengo. Hili ndilo linalopasa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3081/حكم-افطار-المسافر-قبل-مغادرة-المدينة-التي-يقيم-فيها
  • Imechapishwa: 25/03/2023