Anafunzwa al-Faatihah wiki nzima?

Swali: Kaka yangu amehifadhi juzu kumi. Alipoenda kwa mwalimu wa Qur-aan kusoma kwake akaanza nae kuanzia al-Faatihah na akaisoma wiki nzima kwa sababu alikuwa haonelei kuwa anaisoma kwa hukumu za Tajwiyd. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah na aendelee kusoma kwake?

Jibu: Wiki nzima anasoma al-Faatihah? Ni muda kiasi gani itamchukua kusoma al-Baqarah? Miaka kumi? Ni kujikakama. Asisome kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017