Swali: Wasomi wa Tajwiyd wanasema kuwa Tajwiyd ni lazima na kwamba anapata adhambi asiyefanya hivo. Je, ni sahihi?

Jibu: Hapana. Si sahihi. Tawjiyd ina maana kwamba asitamke herufi kwa njia ya kubadilisha maana. Hii ndio Tajwiyd, nako ni kusoma Qur-aan kisawasawa kwa njia ya kutobadilisha maana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017