Swali: Mwanamke akichukia kutoka kwa mume wake tabia fulani. Je, inafaa kwake kuomba kufutwa kwa ndoa?
Jibu: Hapana, muda wa kuwa tabia hiyo sio maasi. Anatakiwa kumsubiria kama ambavo yeye mume pia anatakiwa kumsubiria ikiwa mke ana tabia fulani mbaya. Wanatakiwa kuvumiliana.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 21/07/2023