Swali: Kuna kigezo kipi kinachojuzisha kuifuta ndoa?
Jibu: Kasoro inayofanya kupungua haki ya mmoja kwa mwingine, huo ni udhuru sahihi kwa mmoja katika wanandoa kufuta ndoa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 21/07/2023