Swali: Mwenye kufa katika miji ya makafiri na akazikwa kwa kuelekezwa kinyume na Qiblah. Je, ni lazima kulifukua kaburi na kumwelekeza Qiblah pamoja na kwamba jambo hili ni kazi kubwa kwetu?
Jibu: Hapana, si lazima. Si lazima kulifukua kaburi na kulielekeza Qiblah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
- Imechapishwa: 08/09/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket