Swali 1036: Uso unazingatiwa ni ´Awrah?

Jibu: Ndio. Uso wa mwanamke unazingatiwa ni ´Awrah kwa mujibu wa maoni sahihi ya wanachuoni.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 418
  • Imechapishwa: 08/09/2019