650 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu aliyeweza kutekeleza sehemu ya kafara, lakini hakuweza sehemu iliyobaki?

Jibu: Anaweza kutengeneza kafara ambapo akawalisha watu watano na kuwavisha wengine watano kwa mfano.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 234
  • Imechapishwa: 20/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´