Mtu anaruhusiwa kula katika nadhiri yake ya kuchinjwa?

Swali 646: Mtu aliyeweka nadhiri – kama vile kuchinja – je, anaruhusiwa kula katika nadhiri yake?

Jibu: Inategemea nia yake.

Swali 647: Vipi ikiwa haikujulikana nia yake?

Jibu: Kwa ajili ya mafukara. Huu ndio msingi na wala asile chochote.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 234
  • Imechapishwa: 20/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´