Swali: Walii amemuozesha msichana wake au dada yake pasi na idhini ya mwanamke na ndoa imeshuhudiwa na mashahidi wawili waadilifu. Baada ya ndoa mwanamke akapata khabari hiyo na kukubali ndoa. Je, ndoa hiyo ni sahihi au ifungwe tena upya?
Jibu: Ni sahihi ikiwa amekubali.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 294
- Imechapishwa: 09/01/2025
Swali: Walii amemuozesha msichana wake au dada yake pasi na idhini ya mwanamke na ndoa imeshuhudiwa na mashahidi wawili waadilifu. Baada ya ndoa mwanamke akapata khabari hiyo na kukubali ndoa. Je, ndoa hiyo ni sahihi au ifungwe tena upya?
Jibu: Ni sahihi ikiwa amekubali.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 294
Imechapishwa: 09/01/2025
https://firqatunnajia.com/amemuozesha-msichana-wake-bila-idhini-yake/