Amemuozesha msichana wake bila idhini yake

Swali: Walii amemuozesha msichana wake au dada yake pasi na idhini ya mwanamke na ndoa imeshuhudiwa na mashahidi wawili waadilifu. Baada ya ndoa mwanamke akapata khabari hiyo na kukubali ndoa. Je, ndoa hiyo ni sahihi au ifungwe tena upya?

Jibu: Ni sahihi ikiwa amekubali.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 294
  • Imechapishwa: 09/01/2025