Kutoka kwa Muhammad bin Ibraahiym kwenda kwa muheshimiwa X.
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Nimefikiwa na barua yako ambayo ndani imejumuisha mwanaume ambaye amemjamii mke wake siku ya kwanza ya Ramadhaan na yeye hakuwa anajua kuwa siku hiyo ni Ramadhaan.
Jawabu ni kwamba madhehebu yanasema kuwa analazimika kulipa na kutoa kafara. Hata hivyo kuna maoni mengine yanayosema kuwa hatolazimika kutoa kafara, kwa sababu alikuwa mwenye kupewa udhuru na ndio chaguo la Taqiyy-ud-Diyn [Ibn Taymiyyah] na wengineo. Haya ya pili ndio maoni ya sawa – Allaah akitaka.
Muftiy wa Saudi Arabia
08/07/1384
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (04/195)
- Imechapishwa: 20/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)