Amelala na nia mpaka kukapambazuka alfajiri

Swali: Ni ipi hukumu nikinuia kufunga kabla ya kupambazuka alfajiri na nikalala kisha nikaamka na alfajiri haijaingia ambapo nikala nikanywa halafu nikanuia tena na kulala mpaka ikapambazuka alfajiri?

Jibu: Ukinuia kufunga kisha ukala kabla ya kupambazuka alfajiri kisha ukanuia kufunga kwa mara ya pili na ukajizuilia kuanzia kuchomoza kwa alfajiri mpaka kuzama kwa jua, basi swawm yako ni sahihi.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy

´Abdullaah bin al-Ghudayyaan

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah (10/335) nr. (12029)