Amekaa na kondoo aliyemwokota mwaka mzima

Swali: Nilimwokota kondoo mdogo kisha nikamlea. Mwaka wa kwanza sikumtangaza. Kisha baada ya hapo akakaa na mimi. Ni kipi kinachonilazimu?

Jibu: Amtangaze.

Swali: Katika mwaka wa pili?

Jibu: Ndio.

Swali: Kondoo huyo akifa bado yuko kwake?

Jibu: Hakuna haja ya kumtangaza.

Swali: Hatotozwa thamani yake?

Jibu: Hapana. Midhali hajamshambulia basi hatotozwa thamani yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22291/حكم-ضالة-الغنم-لمن-التقطها
  • Imechapishwa: 29/01/2023