Swali: Aliyeacha swalah anayo tawbah? Inakuweje?

Jibu: Kila mtenda dhambi anayo tawbah. Kila kafiri anayo tawbah. Hakuna asiyekuwa na tawbah. Ni lazima kwake kutubia kwa Allaah, ajutie, azichunge swalah zake na ajutie yaliyopita, aazimie kutorudia, amwombe Allaah msamaha na aswali.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22754/هل-لتارك-الصلاة-توبة-وكيف-تكون
  • Imechapishwa: 17/08/2023