Swali: Ni ipi sahihi kusema; al-Madiynah al-Munawwarah au al-Madiynah an-Nabawiyyah?
Jibu: Haikuthibiti kuwa inaitwa al-Madiynah al-Munawwarah. Uhakika wa mambo ni kwamba inaitwa al-Madiynah an-Nabawiyyah. Hili ni tukufu zaidi. Kuinasibisha kwa Mtume ni utukufu zaidi kuliko kusema al-Madiynah al-Munawwarah. Ni nani aliyesema inaitwa hivi? Haya ni kutoka kwa watu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ni ipi sahihi kusema; al-Madiynah al-Munawwarah au al-Madiynah an-Nabawiyyah?
Jibu: Haikuthibiti kuwa inaitwa al-Madiynah al-Munawwarah. Uhakika wa mambo ni kwamba inaitwa al-Madiynah an-Nabawiyyah. Hili ni tukufu zaidi. Kuinasibisha kwa Mtume ni utukufu zaidi kuliko kusema al-Madiynah al-Munawwarah. Ni nani aliyesema inaitwa hivi? Haya ni kutoka kwa watu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-madiynah-al-munawwarah-au-an-nabawiyyah/