Swali: Mtu huyu ameoa mwanamke mtalikiwa anayeishi kwenye nyumba yake peke yake mbali na familia yake. Amemuoa pasi na familia yake kujua ikiwa ni pamoja na walii wake. Anasema kuwa anafuata madhehebu ya Hanafiy. Ni ipi nasaha yako kwa waume kama hawa ambao wanaoa bila ya walii na bila ya kutangaza ndoa?

Jibu: Warejee katika katika mahakama ya Kishari´ah. Warejee kwa Qaadhiy waangalie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (70) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-06.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020