Hapa ndipo kunaswaliwa swalah ya ghaibu

Swali: Muislamu akifa katika nchi ya kikafiri na kukajulikana ya kwamba hakuswaliwa. Je, tunaweza kumswalia swalah ya ghaibu?

Jibu: Ndio. Mkijua kuwa haswaliwa, basi nyinyi mswalie swalah ya ghaibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (70) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-06.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020