al-Madiynah al-Munawwarah au an-Nabawiyyah?

Swali: Ni ipi sahihi kusema; al-Madiynah al-Munawwarah au al-Madiynah an-Nabawiyyah?

Jibu: Haikuthibiti kuwa inaitwa al-Madiynah al-Munawwarah. Uhakika wa mambo ni kwamba inaitwa al-Madiynah an-Nabawiyyah. Hili ni tukufu zaidi. Kuinasibisha kwa Mtume ni utukufu zaidi kuliko kusema al-Madiynah al-Munawwarah. Ni nani aliyesema inaitwa hivi? Haya ni kutoka kwa watu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020