Ipi bora kati ya Makkah na al-Madiynah?

Swali: Je, inajuzu kwa Muislamu kufadhilisha al-Madiynah juu ya Makkah?

Jibu: Hili lina tofauti kwa wanachuoni. Kuko ambao wanafadhilisha al-Madiynah. Wengine wanafadhilisha Makkah na hii ndio kauli sahihi. Sahihi ni kwamba Makkah ni bora kuliko al-Madiynah. Hii ndio kauli yenye nguvu na sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020