Bora kwa mtu ajihudumikie mwenyewe au wengine?

Swali: Bora kwa mtu ajihudumie mwenyewe au awahudumie wengine?

Jibu: Aanze kwanza kwake kisha ndio awaangalie wale ambao amewajibika kuwahudumia; kuanzia mke wake, watoto, wazazi wake na ndugu zake wahitajia, kisha Waislamu wengine wanaohitajia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020