Swali: Ndugu yangu mmoja ana umri wa miaka kumi na nane. Baba yake ameshafariki. Ninamsimamia ili aweze kukamilisha masomo yake. Je, tendo hili linaingia katika kuwasimamia mayatima?

Jibu: Hapana, huyu ameshabaleghe. Huku kunaingia katika kusaidia katika kheri. Vinginevyo huyu sio yatima kwa sababu ameshabaleghe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020