Swali: Kuna mwanamke ameweka nadhiri ya kufunga siku mbili kila mwezi. Mwaka jana alichoka na hakuweza kufunga mpaka hii leo. Kipi kinachomlazimu?
Jibu: Atoa kafara ya yamini. Pale atapoweza aendelee na kufunga.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kuna mwanamke ameweka nadhiri ya kufunga siku mbili kila mwezi. Mwaka jana alichoka na hakuweza kufunga mpaka hii leo. Kipi kinachomlazimu?
Jibu: Atoa kafara ya yamini. Pale atapoweza aendelee na kufunga.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/ameweka-nadhiri-ya-kufunga-siku-mbili-kila-mwezi-sasa-ameshindwa/