Swali: Kuna mwanamke ni Muislamu na hajui lolote juu ya Uislamu na ameenda kuolewa na kafiri. Anauliza hukumu ya ndoa yake?

Jibu: Ndoa yake ni batili. Haijuzu kwa mwanamke muislamu kuolewa na kafiri. Hili ni kwa mujibu wa Qur-aan, Sunnah na Ijmaa´. Ndoa hii ni batili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020