Swali: Je, inajuzu kwangu kusoma Qur-aan ikiwa sina janaba lakini hata hivyo sikutawadha? Je, inajuzu kusoma ilihali sikuelekea Qiblah?
Jibu: Inajuzu kusoma Qur-aan kwa asiyekuwa na janaba hata kama hakutawadha na hakuelekea Qiblah. Lakini hata hivyo usiguse msahafu isipokuwa mpaka uwe uko na twahara kutokana na hadathi kubwa na ndogo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (78/04)
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)