Swali: Je, inajuzu kwangu kusoma Qur-aan ikiwa sina janaba lakini hata hivyo sikutawadha? Je, inajuzu kusoma ilihali sikuelekea Qiblah?

Jibu: Inajuzu kusoma Qur-aan kwa asiyekuwa na janaba hata kama hakutawadha na hakuelekea Qiblah. Lakini hata hivyo usiguse msahafu isipokuwa mpaka uwe uko na twahara kutokana na hadathi kubwa na ndogo.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (78/04)