Swali: Serikali imefanikiwa kuwadhibiti idadi kubwa katika mapote potevu. Je, una nasaha yoyote kuhusiana na suala hili na uzinduzi kwa vijana ambao wamepakwa mchanga wa machoni miongoni mwa vijana wa Ummah huu katika masuala haya?
Jibu: Tunamuomba Allaah afya na atulinde sisi na nyinyi na upotevu, walinganizi waovu na fikira zilizopinda. Jilazimieni na wanachuoni na masomo mashuleni, kwenye vyuo vikuu na mizunguko ya kielimu. Jilazimieni na ijumaa na mkusanyiko, al-Jamaa´ah. Tahadharini na kubeba fikira chafu na mtu kuwa pekee sehemu za uficho. Tahadharini na mambo haya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (30) http://alfawzan.af.org.sa/node/2142
- Imechapishwa: 12/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)