Swali: Inajuzu kumpa kiungo miongoni mwa viungo vya mwili kafiri anayehitajia?
Jibu: Ndio. Kama jinsi unavyoweza kumlisha anapohitajia na kumfanyia wema, kadhalika [hili] ni sawa. Kwa sharti asidhurike yule mwenye kutoa kiungo hichi. Ni sawa ikiwa unaweza kukitoa na hilo lisikudhuru. Allaah (Jalla wa ´Alaa) amesema:
وَأَحْسِنُوا ۛ إِنَّ اللَّـهَ يُحِبُّ الْمُحْسِنِينَ
“Na fanyeni wema; kwani hakika Allaah anapenda wafanyao wema.” (02:195)
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah amefaradhisha kufanya wema juu ya kila kitu.”
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (75) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-05.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Inajuzu kumpa kiungo miongoni mwa viungo vya mwili kafiri anayehitajia?
Jibu: Ndio. Kama jinsi unavyoweza kumlisha anapohitajia na kumfanyia wema, kadhalika [hili] ni sawa. Kwa sharti asidhurike yule mwenye kutoa kiungo hichi. Ni sawa ikiwa unaweza kukitoa na hilo lisikudhuru. Allaah (Jalla wa ´Alaa) amesema:
وَأَحْسِنُوا ۛ إِنَّ اللَّـهَ يُحِبُّ الْمُحْسِنِينَ
“Na fanyeni wema; kwani hakika Allaah anapenda wafanyao wema.” (02:195)
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah amefaradhisha kufanya wema juu ya kila kitu.”
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (75) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-05.mp3
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-kujitolea-kiungo-kumpa-kafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket