Kwa bibi X analala kwake siku 1 na kwa bibi H siku 3?

Swali: Kuna mtu anataka kuoa mke wa pili na akamuwekea sharti mwanamke huyo kulala kwake usiku mmoja na kwa yule mke wa kwanza siku tatu na mwanamke huyo akawa amekubali hilo. Je, kuna dhambi kwa hilo upande wa Shari´ah?

Jibu: Waislamu wako kwa masharti waliowekeana. Akiridhia hilo haina neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (75) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-05.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020