Swali: Ninaomba unibainishie uhakika wa maana ya ´az-Zuhd` (kuipa nyongo dunia)?
Jibu: az-Zuhd ni kuacha yale usiyokuwa nayo haja. Kuhusu yale unayohitajia kuyaacha sio katika az-Zuhd.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Ninaomba unibainishie uhakika wa maana ya ´az-Zuhd` (kuipa nyongo dunia)?
Jibu: az-Zuhd ni kuacha yale usiyokuwa nayo haja. Kuhusu yale unayohitajia kuyaacha sio katika az-Zuhd.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-kuipa-nyongo-dunia/