al-Fawzaan kuhusu kuipa nyongo dunia

Swali: Ninaomba unibainishie uhakika wa maana ya ´az-Zuhd` (kuipa nyongo dunia)?

Jibu: az-Zuhd ni kuacha yale usiyokuwa nayo haja. Kuhusu yale unayohitajia kuyaacha sio katika az-Zuhd.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020