Swali: Ni ipi hukumu ya kufunga ndoa kwenye misikiti?
Jibu: Ni Sunnah. Imesuniwa kufunga ndoa msikitini. Hili sio kama biashara. Kilichokatazwa ni kufanya biashara na mambo ya kidunia. Ama kuhusu kufunga ndoa, hili makusudio yake sio biashara.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kufunga ndoa kwenye misikiti?
Jibu: Ni Sunnah. Imesuniwa kufunga ndoa msikitini. Hili sio kama biashara. Kilichokatazwa ni kufanya biashara na mambo ya kidunia. Ama kuhusu kufunga ndoa, hili makusudio yake sio biashara.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-kufunga-ndoa-misikitini/