al-Fawzaan kuhusu kufunga ndoa misikitini

Swali: Ni ipi hukumu ya kufunga ndoa kwenye misikiti?

Jibu: Ni Sunnah. Imesuniwa kufunga ndoa msikitini. Hili sio kama biashara. Kilichokatazwa ni kufanya biashara na mambo ya kidunia. Ama kuhusu kufunga ndoa, hili makusudio yake sio biashara.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020