Swali: Maneno ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala):

لَأَسْقَيْنَاهُم مَّاءً غَدَقًا

“… bila shaka Tungeliwanywesha maji kwa wingi.” (72:16)

Je, ina maana ya kwamba jini lina haja ya maji?

Jibu: Bila ya shaka. Jini ni kama mwanaadamu. Lina haja ya maji, chakula na kinywaji na kadhalika. Jini ni kama binaadamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020