Swali: Ni yapi maoni yako juu ya kitabu “al-Bid´ah” cha Ibn Wadhdhwaah al-Qurtwubiy (Rahimahu Allaah)?
Jibu: Ni katika vitabu bora vilivyoandikwa kuhusiana na maudhui haya. Wanachuoni hurejea kwacho. Ni kitabu kizuri na chenye kufidisha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Ni yapi maoni yako juu ya kitabu “al-Bid´ah” cha Ibn Wadhdhwaah al-Qurtwubiy (Rahimahu Allaah)?
Jibu: Ni katika vitabu bora vilivyoandikwa kuhusiana na maudhui haya. Wanachuoni hurejea kwacho. Ni kitabu kizuri na chenye kufidisha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-kitabu-al-bidah-cha-al-qurtwubiy/