al-Fawzaan kuhusu kitabu “al-Bid´ah” cha al-Qurtwubiy

Swali: Ni yapi maoni yako juu ya kitabu “al-Bid´ah” cha Ibn Wadhdhwaah al-Qurtwubiy (Rahimahu Allaah)?

Jibu: Ni katika vitabu bora vilivyoandikwa kuhusiana na maudhui haya. Wanachuoni hurejea kwacho. Ni kitabu kizuri na chenye kufidisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020