al-Fawzaan kuhusu kinachotangulizwa wakati wa kwenda Sujuud

Swali: Ni ipi Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Sujuud mtu atangulize mikono kabla ya magoti au kinyume chake?

Jibu: Akienda chini anatakiwa kutanguliza magoti kisha mikono ikiwa anaweza kufanya hivo. Ama ikiwa ni mgonjwa au ni mzee anahitaji kutanguliza mikono kwanza ni sawa haina neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020