Kumuuliza muislamu juu ya nyama aliyokupa

Swali: Muislamu akinipa chakula kilicho na nyama na sijui kama kimetoka nchi ya nje au hapana nimuulize au nijengee kwa lile ambalo nadhania sana?

Jibu: Usimuulize na wala usijikalifishe. Ukitaka kula na ukitaka acha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-22.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020