Swali: Ni ipi Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Sujuud mtu atangulize mikono kabla ya magoti au kinyume chake?
Jibu: Akienda chini anatakiwa kutanguliza magoti kisha mikono ikiwa anaweza kufanya hivo. Ama ikiwa ni mgonjwa au ni mzee anahitaji kutanguliza mikono kwanza ni sawa haina neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Ni ipi Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Sujuud mtu atangulize mikono kabla ya magoti au kinyume chake?
Jibu: Akienda chini anatakiwa kutanguliza magoti kisha mikono ikiwa anaweza kufanya hivo. Ama ikiwa ni mgonjwa au ni mzee anahitaji kutanguliza mikono kwanza ni sawa haina neno.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-15.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-kinachotangulizwa-wakati-wa-kwenda-sujuud/