Swali: Kuna mtu anamponda Imaam al-Qurtwubiy (Rahimahu Allaah) na anatahadharisha kusoma tafsiyr ya Qur-aan yake. Unasema juu ya hili?
Jibu: Muulize ni ipi sababu ya kufanya hivo. Ni ipi sababu ya kunitahadharisha na tafsiyr ya al-Qurtwubiy. Nambie sababu ili nitazame au niwape wengine watazame. Ikiwa hakukupa sababu ni mwongo na achana naye.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (66) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-16.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)