Swali: Kuna mtu anamponda Imaam al-Qurtwubiy (Rahimahu Allaah) na anatahadharisha kusoma tafsiyr ya Qur-aan yake. Unasema juu ya hili?

Jibu: Muulize ni ipi sababu ya kufanya hivo. Ni ipi sababu ya kunitahadharisha na tafsiyr ya al-Qurtwubiy. Nambie sababu ili nitazame au niwape wengine watazame. Ikiwa hakukupa sababu ni mwongo na achana naye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (66) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-16.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020