Ahl-us-Sunnah ndio wenye kukabaliana na wapotevu

Ahl-us-Sunnah ndio wenye kukabiliana na Hizbiyyuun ambao wamejificha nyuma ya ´Aliy ´Abdullaah Swaalih. Wao ndio wenye kukabaliana na Takfiyriyyuun. Wao ndio wenye kukabaliana na waharibifu. Wao ndio wenye kukabaliana na watu wote wenye kufuata batili na ni katika ´Aqiydah yao kutomfanyia uasi mtawala. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Lau watapewa bay´ah makhaliyfah wawili basi muueni yule wa mwisho wao.” Ameipokea Muslim.

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Akiwajieni mtu ambaye anataka kufarikanisha umoja wenu, basi muueni yoyote awae.”

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=18
  • Imechapishwa: 26/08/2020