Nasaha kwa wayemen dhidi ya Raafidhwah Huuthiyyah

Ninawanasihi wayemen wawapige vita hawa Raafidhwah ambao ni maadui wa Allaah, Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah. Wanawatukana Maswahabah wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), wanaipotosha Qur-aan Tukufu na wanawatukana wakeze Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hakika utukufu wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na wake zake ni wenye uzito zaidi kuliko utukufu wenu, nafsi zenu na mali yenu zaidi ya mara elfu moja. Wapigeni vita Jihaad katika njia ya Allaah (´Azza wa Jall) na ili kulinyanyua neno la Allaah (Tabaarak wa Ta´ala). Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) atakusaidieni ikiwa mtakuwa wakweli na mkapigani ili kulinyanyua neno Lake:

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّـهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ

“Enyi mloamini! Mkinusuru [dini ya] Allaah atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.” (47:07)

Hii ni Jihaad kwa ajili ya dini ya Allaah (Tabaarak wa Ta´ala). Kwa hivyo kuweni ni wakweli kwa Allaah (´Azza wa Jall). Fanyeni kila muliwezalo kuwatokomeza maadui hawa ambao ni maadui wa Allaah, Mtume Wake na Maswahabah zake watukufu. Kuweni ni wakweli kwa Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) Naye atakunusuruni:

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّـهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ

“Enyi mloamini! Mkinusuru [dini ya] Allaah atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.”

Kuweni na yakini kuwa ushindi uko na nyinyi midhali mtakuwa ni wakweli kwa Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) na mkapigani kwa lengo tu neno la Allaah liweze kuwa juu. Kuweni na yakini juu ya ushindi:

وَعْدَ اللَّـهِ ۖ لَا يُخْلِفُ اللَّـهُ الْمِيعَادَ

“Hii ni ahadi ya Allaah. Allaah hakhalifu miadi [Yake].” (39:20)

Ninakutahadharisheni kupigana kwa ajili ya maslahi mengine. Piganeni tu kwa lengo neno la Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) liweze kuwa juu na kuinusuru dini ya Allaah (´Azza wa Jall), Mtume Wake na Maswahabah zake watukufu.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=151349
  • Imechapishwa: 26/08/2020