Leo Ahl-ul-Ahwaa´ wameshikilia yale yale aliyoshikilia Dhul-Khuwayswirah kipengele cha uchumi wa Kiislamu na kipengele cha Haakimiyyah. Hawajui yote mawili na si wa kweli katika yote mawili. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema juu yao:

“Waueni pahali popote mtapokutana nao.”

“Muuliwaji bora ni yule waliyemuua.”

Ameahidi kuwa wale wenye kuuawa na wao wana malipo makubwa mbele ya Allaah (Tabaarak wa Ta´ala).

Ninaapa kwa Allaah ya kwamba hawa shari yao ni ndogo kabisa ukilinganisha na wengi katika watu wa Bid´ah wa leo tukianzia kwa Tijaaniyyah, Marghaniyyah, Naqshbandiyyah na Sahrwardiyyah. Ninaapa kwa Allaah ya kwamba Khawaarij ambao ´Aliy aliwapiga vita ni waongofu zaidi kuliko watu hawa. Watu hawa wanafanya shirki katika ´ibaadah. Wanaamini kuwa mawalii wanajua mambo ya ghaibu, wanaendesha ulimwengu, wanawaomba uokozi, wanatufu kwenye makaburi yao na wanasema juu yao vituko na vitakuro ambavyo havisemi yeyote isipokuwa makhurafi. Isitoshe ukiwauliza Allaah Yuko wapi? Jibu kwao utawasikia wanasema Allaah Yuko kila mahali au hayuko juu wala chini n.k., maana ya Mkono wa Allaah ni uwezo wa Allaah na upotevu mwingineo. Wanashirikisha katika sifa, utenda kazi wa Allaah na ´ibaadah. Khawaarij hawakuwa na aina zote hizi za shirki. Pamoja na yote haya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema juu yao:

“Viumbe waovu kabisa walioko chini ya mbingu.”

“Viumbe waovu kabisa.”

“Popote mtapokutana nao waueni.”

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kutoka kitabu “Firqat-un-Naaniyah – Misingi na I´tiqaad zake”
  • Imechapishwa: 27/08/2020